TANGAZO KWA WANACHAMA WA MTANDAO WA VIJANA LIWALE.
LEO TAREHE 2,3,2016 TUTAKUWA NA KIKAO NA MGENI ALIYETUTEMBELEA HAPA WILAYANI NA KUTAKA KUONGEA NA WANACHAMA,KIKAO KITAFANYIKA BAADA YA WATU KUMALIZA KAZI YAO YA KUTAFUTA RIDHIKI ITAKUWA SAA 12:30 JIONI
KAMA MUDA UTABADILIKA MUTAPEWA TAARIFA AU KWA MAELEZO ZAIDI PIGA 0656630250/0689286666
MAHALI PA KUKUTANO BAADA YA KUJADILIANA KWENYE GROUP LA WHATSAPP
UKIONA TANGANZO HILI MWAMBIE MWEZAKO

0 comments:
Post a Comment